
Kocha mkuu wa Yanga SC Mwinyi zahera amesema wanajiandaa vyema na mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Zesco united ya zambia.
:
Zahera amesema kuwa hana wasiwasi kuhusu mchezo huo kwakua anaamini timu yake inaweza kuifunga zesco united .
:
Akizungumza na Azam Tv zahera amesema kuwa wao kama timu watajiandaa vyema ila kikubwa mashabiki wa Yanga SC kuja uwanjani kuwapa sapoti ili wafanye vyema.
:
Zahera anasema kama simba aliwafunga Vita nkana katika uwanja wa taifa iweje yanga ishindwe kufanya hivyo? basi anaamini kuwa yanga yake haitawaacha salama zesco united.
:
Mchezo huo utapigwa tarehe 14 mwezi wa 9 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es laam majira ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki na kati.

#SokaPlaceUpdates





#SpainLaLigaSantander















